Friday, December 27, 2013

Sisi waha blog ya kijamii

Sisi waha blog ya kijamii, Tunadumisha mila na desturi zetu hapa. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanaodumisha utamaduni wa waha kwa kuchangia mada mbalimbali zenye kujenga hapa. Kuwa mzalendo kwa kuenzi kabila lako. Tuungane kuhifadhi na kutangaza utamaduni wetu hapa. waha hoyeee

No comments:

Post a Comment

Makabila yote yana chat hapa chini